Mwanasheria mkuu Kenya ajiuzulu

By Mpekuzi Huru, 14w ago

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Profesa Githu Muigai amejiuzulu nafasi hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka sita. Na tayari Rais Uhuru Kenyatta amemteua Jaji Paul Kihara Kariuki kushika wadhifa huo.Kwa upande wake, Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa namna alivyolitumikia Taifa kwa weledi katika nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa Serikali.Profesa Muigai alitangaza leo kujiuzulu wadhifa huo alio...

ZINAZOENDANA

Siri za mafanikio ya serikali ya awamu ya tano zawekwa wazi (+video)

4m ago

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ameweka wazi siri za mafanikio ya serikali katika serika...

Msemaji wa serikali awataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli

24m ago

Watanzania wametakiwa kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kuleta mageuzi ma...

VIDEO- DKT ABBASI: SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEFIKIA HATUA HII KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

  Na Mwandishi Wetu, MAELEZO Kilimanjaro     WATANZANIA wametakiwa kuendelea kumuunga mkono ...

Facebook Yaendelea Kuomba Msamaha

36m ago

Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwenye Bunge la Ulaya kutokana na madhara yali...

Iran yaendelea kupinga masharti ya Marekani

37m ago

Iran imeendelea kupinga masharti kutoka Marekani ya kufanyia mabadiliko sera yake ya kigeni na mpango...

Waziri Mkuu: Tanzania Inahitaji Wawekezaji ili Kupata fursa ya mitaji na teknolojia za kisasa

38m ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania bado inahitaji wawekezaji na kupitia kwenye uwekezaji, i...

Zeco : Zanzibar ipo hatua ya mwisho kutafuta vyanzo vya umeme

50m ago

JITIHADA za upatikanaji wa umeme mbadala Zanzibar zimeanza kuleta matumaini kufuatia matokeo mazuri y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek