Mwanasheria mkuu Kenya ajiuzulu

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Profesa Githu Muigai amejiuzulu nafasi hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka sita. Na tayari Rais Uhuru Kenyatta amemteua Jaji Paul Kihara Kariuki kushika wadhifa huo.Kwa upande wake, Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa namna alivyolitumikia Taifa kwa weledi katika nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa Serikali.Profesa Muigai alitangaza leo kujiuzulu wadhifa huo alio...

ZINAZOENDANA

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha i...

CHADEMA Wamjibu Vikali Msajili wa Vyama Vya siasa

4h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Makubaliano waliyoyafikia wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

5h ago

Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umemaliza jioni leo tarehe 23 Februari,...

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA

5h ago

        The post RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA ...

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

6h ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

7h ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek