Mwanasheria mkuu Kenya ajiuzulu

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Profesa Githu Muigai amejiuzulu nafasi hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka sita. Na tayari Rais Uhuru Kenyatta amemteua Jaji Paul Kihara Kariuki kushika wadhifa huo.Kwa upande wake, Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa namna alivyolitumikia Taifa kwa weledi katika nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa Serikali.Profesa Muigai alitangaza leo kujiuzulu wadhifa huo alio...

ZINAZOENDANA

Rais JPM, Kenyatta wawaagiza mawaziri kutatua changamoto ndogondogo

21m ago

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Ke...

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA KAMPALA NCHINI UGANDA

23m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya ...

TRUMP: WALIMU WAPEWE BUNDUKI KULINDA WANAFUNZI

33m ago

WASHINGTON, MAREKANI RAIS Donald Trump amesema kuwapatia walimu silaha kutawezesha kuzuia mashambulio...

Walichoongea Rais Magufuli na Kenyatta Baada ya Kukutana Leo

33m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe...

Makubaliano waliyoyafikia Rais Magufuli na Rais Kenyatta leo

39m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe...

Hali ya Lissu Yazidi Kuhimarika "Kwa Sasa Naweza Kusimama Kutembea Bado"

47m ago

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia hali ya afya yake akisema kwa sasa an...

Familia ya Akwelina Yamuangukia Rais Magufuli "Waliofanya Unyama Huu Wapewe Adhabu Staiki"

47m ago

Familia ya binti Akwelina Akwelini aliyepigwa risasi Februari 16, 2018 na mwili wake kuagwa jana Febr...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek