Mbabe wa Okwi aangukia kifungoni

By Shaffih Dauda, 14w ago

Kama unakumbuka Februari 4, 2018 mlinzi wa Ruvu Shooting Mau Bofu alimpiga kiwiko mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi muda mfupi kabla ya mapumziko na kumsababishia maumivu yaliyopelekea kushindwa kuendelea na mchezo huo. Leo Februari 13, 2018 kamati ya saa 72 imetoa maamuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutolea maamuzi kuhusu tukio la Mau Bofu kumpiga […]

ZINAZOENDANA

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA NABII MWINGIRA NA WANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA MICHIGAN LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

32m ago

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha St. John kilicho...

Haji Manara Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba

Afisa habari wa  Simba, Haji Manara amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo cha kiko...

Manara aahidi mazito klabu bingwa Afrika 'Mwakani Rais atatualika Ikulu kwa kazi tutakayoifanya'

3h ago

Mara baada ya Rais Magufuli kwenye hotuba yake hapo juzi kuwasifia Kagera Sugar kwakuonyesha mchezo m...

YAMETIMIA: Kwa MO mtasubiri sana

3h ago

HATIMAYE Simba imeaga ukapera. Imeondoka kwenye umasikini. Imeingia kwa wajanja na huenda sasa tofaut...

Fainali Kombe la Shirikisho yanukia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

3h ago

Fainali hiyo imekuwa na umuhimu kwa kila timu kutokana na upande wa Ligi Kuu Bara, timu ya Simba kuta...

Walioitibulia Simba 2010/2011 wamerudia tena

4h ago

LIGI Kuu Bara, msimu wa 2010/11, Simba SC ilishindwa kutetea ubingwa wake iliouchukua bila kupoteza m...

Usajili wa Lechantre upo hivi!

4h ago

SIMBA kweli haitaki mchezo. Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba SC, tayari wamekamilisha kazi waliyotumw...

Simba mpya yaitikisa Yanga

5h ago

MAMBO ni moto. Yanga imetikiswa. Chanzo kikiwa ni mabadiliko ya rasimu ya Katiba yaliyopitishwa na wa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek