Waziri Mkuu: Bahari Kuu, Viwanja Vya Ndege Vyabainika Kupitisha Dawa Za Kulevya

By Mpekuzi Huru, 1w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini kwamba maeneo ya bahari kuu, bandari, vituo vya mabasi na viwanja vya ndege yanayotumika sana katika kupitisha dawa za kulevya.Hata hivyo Waziri Mkuu amesema wafanyabiashara, wasambazaji na watumiaji wa dawa za kulevya wameendelea kukamatwa, lengo ni kuhakikisha biashara hiyo inamalizika nchini.Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Februari 13, ...

ZINAZOENDANA

Oparesheni Za Kuzuia Uhalifu Zatakiwa Kuzingatia Sheria

1h ago

Na Lydia Churi-Mahakama ya TanzaniaViongozi wanaohusika na Oparesheni za kuzuia uhalifu wameshauriwa ...

MAJALIWA AZUIA USHURU KABLA YA KUNUNUA MAZAO

2h ago

Na CLARA MATIMO   WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku halmashauri zote nchini kuwatoza ...

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES'

2h ago

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la ...

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES

   Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika ...

Ahadi ya serikali kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)

2h ago

Katika juhudi za kuhakikisha kuwa mchezo wa soka unaendelea na kuheshimika duniani, Serikali ya Tanza...

Mtanzania jela miaka 5 Ghana kwa 'unga'

3h ago

Matukio ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya yameendelea kutawala, baada ya Basaida Zena Jafary...

Fifa yasuuzika kasi ya Rais Magufuli

3h ago

Sifa za Infantino kwa Rais Magufuli ni baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumweleza kuwa tangu Rais...

MWENYEKITI MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA

3h ago

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek