Waziri Lukuvi Apiga Marufuku Wathamini Wanaofanya Uthamini Nje Ya Serikali

By Mpekuzi Huru, 14w ago

Na Florah Raphael.Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi leo amezindua rasmi bodi ya wathamini ambayo imeundwa kwa mujibu wa sheria ya uthamini na usajili wa wathamini ya mwaka 2016 ambayo imeanza  kutumika rasmi Januari mwaka huu.  Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri Lukuvi amesema kwa mujibu wa sheria wajumbe wa bodi ni lazima kutoka katika taasisi mbalimbali ikiwem...

ZINAZOENDANA

Siri za mafanikio ya serikali ya awamu ya tano zawekwa wazi (+video)

31m ago

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ameweka wazi siri za mafanikio ya serikali katika serika...

Msukuma: Kuna Baadhi ya Wizara Zinatia Kichefuchefu na Kila Nikiwaona Mawaziri Wake Natamani Kukimbia

38m ago

Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Joseph Musukuma amesema baadhi ya Wizara ni kichefuchefu na kuna Waziri ...

Msemaji wa serikali awataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli

51m ago

Watanzania wametakiwa kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kuleta mageuzi ma...

VIDEO- DKT ABBASI: SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEFIKIA HATUA HII KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

  Na Mwandishi Wetu, MAELEZO Kilimanjaro     WATANZANIA wametakiwa kuendelea kumuunga mkono ...

Facebook Yaendelea Kuomba Msamaha

1h ago

Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwenye Bunge la Ulaya kutokana na madhara yali...

Iran yaendelea kupinga masharti ya Marekani

1h ago

Iran imeendelea kupinga masharti kutoka Marekani ya kufanyia mabadiliko sera yake ya kigeni na mpango...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek