Yanga imepigwa faini

By Shaffih Dauda, 1w ago

Klabu za Lipuli na Yanga kila moja imepigwa faini ya Tsh. 500,000 (laki tano) kwa kutumia milango isiyo rasmi kuingia uwanjani, kitendo ambacho ni ukiukaji wa Kanuni ya 14(14) ya Ligi Kuu. Adhabu dhidi yao imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 14(49) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.   Pia klabu ya Yanga imepigwa faini […]

ZINAZOENDANA

SIMBA YAANZA KUJIFUA UWANJA WA VETERANI

6h ago

Na Agness Francis Globu ya jamii.  VINARA wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC mara baada ya ...

Kocha Rollers apania makubwa Afrika

8h ago

Msebria huyo amejinga kuhakikisha timu yake inafuzu kwa mara ya kwanza kucheza hatua ya makundi Ligi ...

YANGA YAREJEA NCHINI USIKU, YAANZA MAZOEZI KUJIANDAA NA LIGI KUU

MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Bara wamerejea usiku wa kuamkia leo kwa mchezo wao wa kombe la FA dhidi...

Arsenal yapewa AC Milan

9h ago

Bingwa wa Europa Ligi anapata tiketi ya kufuzu moja kwa moja kwa Ligi ya Mabingwa

MCHEZO WA LIPULI NA NDANDA WASOGEZWA

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe...

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE KUZINDULIWA RASMI NA WAZIRI MWAKYEMBE JUMAPILI

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite hatua ya Nane bora inataraji kuzinduliwa rasmi mkoani ...

Mbao FC yatonywa Simba haitaki mzaha

12h ago

Mchezo huo wa Ligi Kuu utapigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo Mbao FC wataingia ...

JKT Queens yaichimba mkwara Alliance

13h ago

Timu ya JKT Queens imetamba kufanya vyema katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya wanawa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek