Benki ya Dunia Yakana Kuishinikliza Serikali kusimamisha zoezi la bomoa bomoa Dar

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Benki ya Dunia (WB) ofisi ya Tanzania imekanusha madai ya kwamba iliishinikiza Serikali kusimamisha zoezi la bomoa bomoa ya makazi ya watu kwenye hifadhi ya barabara ya Morogoro.Madai hayo ambayo yaliripotiwa na chombo kimoja cha habari, kabla ya kusambaa kwenye mitandao ya jamii yalibainisha kwamba WB walishinikiza kusimamishwa kwa bomoabomoa kwa kuwa ndio wafadhili wa mradi wa barabara hiyo.Ilidaiwa na...

ZINAZOENDANA

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha i...

Simba Yapewa Siri Za Al Masry

MARA baada ya Simba kufanikiwa kufuzu kucheza Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baadhi ...

Mnyika: "Wanataka kuifuta CHADEMA"

4h ago

Naibu Katibu Kuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Mhe. John Mnyika amefunguka na k...

Akwelina alikuwa anasomesha mdogo wake

4h ago

Binti Akwelina Akwelini aliyepigwa risasi Februari 16, 2018 na kuzikwa leo Februari 23, 2018 Rombo mk...

Polisi: Diwani CHADEMA auawa kwa kisasi

4h ago

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya ...

Mwandishi anusurika kifo katika Ajali ya malori na gari ndogo

4h ago

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru,  Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha ...

Waziri Ndalichako kumsomesha mdogo wa Akwelina (Video)

4h ago

Baadhi ya vitu vilivyopokelewa kwa faraja katika familia ya Mzee Akwilini ni ahadi ya Waziri wa Elimu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek