Mwanasheria Mkuu wa Kenya,Prof Githu Muigai ajiuzulu

By Channel 10, 1w ago

Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Muigai kwa utumishi wake ambapo nafasi hiyo sasa inajazwa na Jaji Paul Kihara Kariuki Akiwa mshauri wa serikali katika masuala ya kisheria, Prof Githu Muiga atakumbukwa kwa kuleta mageuzi ya sheria katika[...] The post Mwanasheria Mkuu wa Kenya,Prof Githu Muigai ajiuzulu appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha i...

Makubaliano waliyoyafikia wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

4h ago

Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umemaliza jioni leo tarehe 23 Februari,...

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA

5h ago

        The post RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA ...

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

6h ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

6h ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek