LHRC Yamvaa Makonda kuingilia mahakama

By Mpekuzi Huru, 14w ago

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeponda kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya kusimamisha shughuli za mabaraza ya kata na kuingilia utendaji kazi wa mahakama.Kimesema kuwakusanya wananchi kusikiliza kero zao za ardhi maana yake ni kutatua kero hizo bila sheria.Akizungumza leo Februari 13, 2018 wakati akitoa tamko dhidi ya ukiukwaji wa utawala wa sheria, Kaimu Mkurugenzi Mt...

ZINAZOENDANA

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

18h ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa vifaa vya  ujenzi vyenye thamani ya Sh.m...

RC Makonda Apokea Vifaa Vyenye Thamani Milion 400 Kwaajili Ya Ujenzi Wa Ofisi Za Walimu

2d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amekabidhiwa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya s...

Paul Makonda Ayakana Makontena Yaliyoko Bandarini

Utata umeendelea kuandama umiliki wa makontena 20 yaliyotajwa na Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwa miongo...

Kiongozi Yanga Aomba Jezi ya Ubingwa Simba

Wakati Simba ikiwa inajiandaa kuupokea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu mbele ya Rais Magufuli, Afi...

Makonda ayakana makontena Yaliyoko Bandarini

2d ago

Utata umeendelea kuandama umiliki wa makontena 20 yaliyotajwa na Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwa miongo...

Makonda ayakana makontena ya Paul Makonda bandarini

2d ago

Utata umeendelea kuandama umiliki wa makontena 20 yaliyotajwa na Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwa miongo...

Dar Yote Nyekundu Leo, Magufuli Kuwakabidhi Kombe Simba

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ni Simba wa kutupwa, amewaomba mashabiki wajitokez...

Makonda aitabiria ushindi Simba Uwanja wa Taifa leo

2d ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaomba mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba kuende...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek