Tanzania yawa Mwenyeji ya Mkutano wa Baraza la Wakimbizi Duniani

By Issa Michuzi, 14w ago

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ametoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuisaidia Tanzania kutokana na mchango mkubwa wa kuwahudumia wakimbizi ambao imekuwa ikiutoa kabla na baada ya uhuru, licha ya uchumi mdogo ilio nao. Waziri Mahiga ametoa wito huo leo Jijini Dar Es Salaam katika kikao cha Baraza la Wakimbizi Duniani (World Refugees Council-WRF) kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia jana kwenye Hoteli ya Hyatt Regecy, Kilimanjaro.Waziri Mahiga alieleza kuwa Tanzania ilipokea wakimbizi kutoka Poland wakati wa vita ya pili ya dunia na mw...

ZINAZOENDANA

MAMA KIKWETE AMBANA SWALI WAZIRI - VIDEO

Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete leo Mei 18, 2018 amembana swali Naibu Waziri wa Viwanda na Bi...

Pacha walioungana waruhusiwa Muhimbili, wahamishiwa hospitali Iringa

5d ago

Awali walikuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, kupewa rufaa kwenda Taasisi ya...

Jumuia ya Kihindu Tanzania shilingi milioni 68 matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto wenye matatizo

5d ago

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ...

H.E. Benjamin Mkapa, former presidents to convene on peace and security in Africa

7d ago

Former Presidents Benjamin Mkapa of Tanzania, Thabo Mbeki of South Africa and Hassan Sheikh Mohamud o...

Tanzania Health Summit yachangia Milion Moja ya UpasuajI wa mtoto

1w ago

 Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wa    Tanzania Heal...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek