MAENEO YANAYOTUMIKA KUPITISHA DAWA ZA KULEVYA NCHINI YATAJWA

By Issa Michuzi, 1w ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii  SERIKALI imebaini kwamba maeneo ya bandari, bahari kuu,vituo vya mabasi na viwanja vya ndege  bado yanatumika kupitisha dawa za kulevya nchini. Hata hivyo imeelezwa kuwa wafanyabiashara, wasambazaji na watumiaji wa dawa za kulevya wameendelea kukamatwa, lengo ni kuhakikisha biashara hiyo inamalizika kabisa. Hayo yamesemwa leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers Siyanga.  Amefaf...

ZINAZOENDANA

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES

   Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika ...

Ahadi ya serikali kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)

40m ago

Katika juhudi za kuhakikisha kuwa mchezo wa soka unaendelea na kuheshimika duniani, Serikali ya Tanza...

Mtanzania jela miaka 5 Ghana kwa 'unga'

1h ago

Matukio ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya yameendelea kutawala, baada ya Basaida Zena Jafary...

Fifa yasuuzika kasi ya Rais Magufuli

1h ago

Sifa za Infantino kwa Rais Magufuli ni baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumweleza kuwa tangu Rais...

MWENYEKITI MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA

1h ago

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungo...

Waziri Mkuu Akutana Na Rais Wa FIFA .....Aipongeza Kwa Kupambana Na Rushwa

1h ago

SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali ...

Majaliwa aishukuru CAF kwa Fainali za U-17

1h ago

Ampongeza Ahmad kwa kuiamini Tanzania na kuipa uwenyeji wa Fainali za Afrika, zitakazofanyika mwakani...

TANZANIA YAIPONGEZA FIFA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

1h ago

SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek