Dkt. Kalemani afanya ziara Chato, Atoa wiki moja kwa mkandarasi kukamilisha usambazaji umeme

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Greyson Mwase, ChatoWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani  leo  tarehe 13 Februari, 2018 amefanya ziara katika wilaya ya Chato mkoani Geita lengo likiwa ni kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijijini inayosimamiwa na  Wakala wa Nishati Vijijini (REA).Akizungumza kwa nyakati tofauti  na wananchi katika vijiji vya Iparamasa na Kalembela vilivyopo wilayani Chato mkoani Geita, Dkt. Kalemani ameitaka kampuni iliyopewa kazi ya kujenga miundombinu ya umeme katika vijiji husika, ya White City JV Guandong kukamilisha kazi  iliyopewa ndani ya  wiki moja  katika...

ZINAZOENDANA

Mike Pence Amuonya Kim Jong-un Asimchezee Trump

54m ago

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

Mike Pence: Kim Jong-un nakuomba usithubutu kumchezea Trump

2h ago

Wakati zikisalia siku chache kabla ya mkutano kati ya rais wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini...

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 22.05.2018

2h ago

Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 26, amesema wazi wazi anatataka kuondoka Real Madrid msimu h...

Mike Pence amuonya Kim Jong-un asimchezee Trump

4h ago

Korea Kaskazini imetisha kujitoa mkutano huo baada ya matamshi ya mshauri wa masuala ya ya ulinzi nch...

Chanya na hasi kwa Liverpool kuelekea Kiev

13h ago

Zimebaki siku nne tu kwa Liverpool kujaribu kusimamisha utawala wa Real Madrid katika michuano ya Cha...

Klopp awapiga kijembe Real Madrid 'Uzoefu sio kilakitu'

13h ago

Meneja, Jurgen Klopp amesema kuwa wapinzani wake klabu ya Real Madrid wanawazidi Liverpool kwa uzoefu...

Madrid yamtega Mo Salah

1d ago

Unaambiwa hivi, Real Madrid imeshaanza kumchokonoa Mohamed Salah kwa kutoa kauli kuwa hatima yake ya ...

Dkt. Kalemani aiagiza TANESCO kuondoa mita za umeme za zamani kabla ya mwezi Julai

2d ago

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek