Alichojibu Kamanda Kinondoni kuhusu Madai ya CHADEMA kuvamiwa na Polisi

By Millard Ayo, 2w ago

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Jumanne Murilo amesema  polisi hawakuvamia ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo  zilizopo maeneo ya Magomeni na kusema kuwa wao walirusha mabomu ili kutawanya watu waliokuwa wakiandamana kwa mwamvuli wa vyama vya siasa. Akiongea na AyoTV na millardayo.com Kamanda Murilo amesema walichokifanya wao jeshi la polisi ni  kuzuia vitendo […]

ZINAZOENDANA

KATIBU WA CHADEMA KATA YA MAILMOJA AKIMBILIA CCM

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani WIMBI la baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kuhamia Chama ...

Jeshi la Polisi Congo Latumia Nguvu Kuwatawanya Wapinzani Wanaompinga Rais Kabila

11h ago

DR CONGO: Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi na risasi kuwatawanya waandamanaji wanaoupinga ...

Hukumu ya Ugu Kusomwa Kesho February 26

16h ago

Hatima ya mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayeshtakiwa kwa kosa la kut...

MADIWANI 60 WAHAMA CHADEMA

17h ago

EVANS MAGEGE Na AGATHA CHARLES-DAR ES SALAAM | WAKATI vuguvugu la madiwani kujiuzulu nyadhifa za...

RIPOTI: Wakimbizi kutoka DR Congo wauawa na askari nchini Rwanda

19h ago

Wakimbizi watano kutoka DR Congo wameuawa katika maandamano yaliofanyika Jumanne nchini Rwanda yakipi...

Zitto Kabwe asimulia kuhusu Mtu Aliyevunjwa Mbavu Mahabusu

19h ago

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini , Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kudai kuwa jeshi la polisi nchini li...

Iringa sio sehemu salama - Waeleza Maofisa Uhamiaji

19h ago

Wahamiaji haramu wapatao 83 kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa mkoani Iringa wakiwa kwenye lori wakis...

CHADEMA Yataka Wafuasi Wake Waliko Polisi Ambao Wanamajeraha ya Risasi Wakatibiwe

20h ago

Siku 10 baada ya wanachama wa Chadema kukamatwa na polisi eneo la Mkwajuni wilayani Kinondoni jijini ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek