Hamisa Mobetto: Nimefurahia Maamuzi ya Mahakama

By Ghafla Tanzania, 14w ago

Siku ya jana supastaa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake mwanamitindo Hamisa Mobetto walifika tena mahakama ya Kisutu kwa ajili ya muendelezo wa kesi iliyofunguliwa iliyofunguliwa na Hamisa dhidi ya Diamond. Walifika mahakamani hapo kwa ajili ya kuweka rekodi ili mahakama na ustawi wa jamii waweze iwe na kumbukumbu ya usuluhishi wao mara ya mwisho na ahadi zao walizowekeana. Baada ya kutoka mahakamani msanii Diamond alifunguka na kuongea na waandishi wa habari na alifunguka yafuatayo: Labda tu cha kuzungumza kama nilivyosema mara ya mwisho tuliitwa kwa ajili ya usuluhishi na wal...

ZINAZOENDANA

Lulu Diva Kuchezea Kipigo Kizito Kisa Rich Mavoko

Msanii wa Bongo fleva Lulu Abbas maarufu kama Lulu Fiva anayefanya vizuri na kibao chake cha Ona alic...

Ali Kiba Atangaza Vita Na Mbwana Samatta Uwanja Wa Taifa

Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba anayeendelea kufanya vyema na ngoma yake ya 'Mbumo wa Radi,...

Amini Awataka Wasanii Wakongwe Kufanya Muziki Unaokwenda na Wakati

Mwanamuziki wa Bongo fleva aliyefanya vyema kipindi cha nyuma Amini amewachana wasanii wakongwe kuwa ...

Diamond Kuwa Makini Sana na Mitungi!

KWAKO staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', mambo yanakwendaj...

H.Baba- Wasanii Wanaishi Maisha Ya Uongo Ya Kuigiza Wana Pesa

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kibao chake cha mpenzi bubu, H...

Mama Diamond akana kumpiga Hamisa Mobeto

2h ago

BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim  amempiga mwan...

Q-Chillah Atangaza Kuendelea Na Muziki Aweka Kando Mawazo Ya Kuacha

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake 'Ulinikataa' miaka y...

Nguo ya mpenzi wa Hamornize yazua kizaazaa Instagram ya Hamisa Mobeto

16h ago

Wakati sakata la Hamisa Mobeto kudaiwa kupigwa na mama yake Diamond nyumbani kwake Madale, mwanamitin...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek