Waziri Mkuu Akabidhi Gari Kwa Mamlaka Ya Kupambambana Na Dawa Zakulevya

By Mpekuzi Huru, 14w ago

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani) jana  (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Rogers Siyanga kwa ajili ya Mamlaka hiyo. Makabidhiao hayo yamefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.  PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

ZINAZOENDANA

Waathirika mihadarati walia utaratibu wa kupatiwa dawa

20h ago

Baadhi ya waathirika wa dawa za kulevya visiwani hapa walioamua kujiunga na Kliniki ya Methadone ili ...

Atiwa Mbaroni Kwa Tuhuma Za Kukutwa Na Dawa Za Binadamu Zilizoisha Muda Wake

5d ago

Jeshi la Polisi Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya linamshikilia mkazi wa Tabata Segerea Chama jijini...

MKAZI DAR MBARONI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA DAWA ZA BINADAMU ZILIZOISHA MUDA WAKE

5d ago

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJESHI la Polisi Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya kinamshikilia mk...

Tume ya Taifa Kuratibu na Uthibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar Yateketeza Dawa za Kulevya.

6d ago

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi wakichoma moto vipolo na vifushi vya bangi katika jaa la Kibe...

Tume ya Taifa Kuratibu na Uthibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar Yateketeza Dawa za Kulevya.

6d ago

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi wakichoma moto vipolo na vifushi vya bangi katika jaa la Kibe...

Zaidi ya vipolo 35 vya bangi vyaangamizwa Kibele Unguja

6d ago

KAMATI ya kuangamiza dawa za kulevya imeangamiza zaidi ya polo 35 za dawa za kulevya aina ya bangi ka...

Wema augua ghafla, kesi yakwama

6d ago

KESI ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili, mrembo Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili imeshindw...

Wema Augua Ghafla Mahakamani

6d ago

JANA Mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya kutumia dawa za kulevya baada ya kuu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek