Kiongozi CHADEMA Auawa....Mbowe Asimulia Alivyotekwa na Mwili Wake Kuokotwa Ufukwe wa Bahari

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.Mbowe akizungumza na waandishi wa habari jana Februari 13,2018 alisema John alitoweka siku moja iliyopita.Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema hana taarifa hizo lakini anawasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kino...

ZINAZOENDANA

CHADEMA Wamjibu Msajilii wa Vyama vya Siasa

1h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Chadema wamjibu Msajili

2h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Msajili wa Vyama vya Siasa Anasukumwa Wanataka Kuifuta Chadema- Mnyika

Naibu Katibu Kuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Mhe. John Mnyika amefunguka na k...

Mnyika Awatahadharisha CHADEMA Mauaji ya Kutisha- Video

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewatahadharisha vion...

BREAKING: CHADEMA Wanaongea Kuhusu Mauaji ya Diwani Aliyekatwa Mapanga (Video)

 The post BREAKING: CHADEMA Wanaongea Kuhusu Mauaji ya Diwani Aliyekatwa Mapanga (Video) appear...

Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana Zitto Kabwe Atema Cheche "Tusirudishwe Nyuma na Vitisho"

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka M...

Msimamo wa chadema dhidi ya barua ya Msajili wa vyama vya siasa chini

7h ago

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameipa siku tano Chadema kuwasilisha maelezo ...

JAJI MUTUNGI AKILIMA BARUA CHADEMA

7h ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua C...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek