Abdu Kiba na Timbulo Ndani ya Bifu Nzito Baada ya Kuibiana Nyimbo

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Msanii wa Bongo fleva Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa staa wa Bongo fleva Ali Kiba amejikuta kwenye mvurugano na msanii mwenzake Timbulo baada ya kituhumiana kuibina mashairi ya nyimbo. Wasanii hawa wawili waliingia katika mgogoro mkubwa sana Timbulo na Abdu Kiba baada ya wote wawili kujikuta wanaimba mashairi yanayo fanana huku Timbulo akimtupia lawama na kumuuliza kwa nini atumie mashairi yake. Kizaazaa hiki kilianza baada ya habari kusambaa kuwa kuna rekodi ambayo imefanywa na Timbulo na kumshirikisha msanii mwingine anayeitwa Promise ambayo inafanana kabisa mashairi na nyimbo mpya ya Abdu Kib...

ZINAZOENDANA

'€œSitakubali Uchebe Aoe Mke Wa Pili'€- Shilole

18m ago

Msanii machachari kabisa wa Bongo fleva mwanadada Shilole amefunguka na kusema katu hatokaa akubali m...

Abdukiba amefunguka baada ya video yake na fayvanny kusambaa kwenye mitandaoni

Mwanamziki wa bongo fleva kutokea king music, Abdukiba amekanusha vikali kutoka kimapenzi na mpenzi w...

Aslay na Nandy Wachapwa Faini ya Milioni 5 Kwa Wizi

Msanii wa Bongo fleva Aslay na msanii mwenzake Nandy wanaotamba hivi sasa na wimbo wao wa 'Suba...

Dayna nyange Aweka Wazi Tetesi za Kuwa Mjamzito na Baba Kijacho WakeN

Msanii wa kike  muziki wa bongo fleva Dayna Nyange amefunguka na kuwekawazi kwa tetesi zilizokuwa ...

Diamond Awapa Ujumbe Huu Watoto Wake

Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameendelea kukaa kwenye headlines za mitandao ya kijamii ...

Isikilize hapa Sitabaki Nilivyo 'cover' - Peter Msechu

19h ago

Wimbo wa ‘Sitabaki nilivyo’ ulioimbwa na msanii wa nyimbo za injili Joel Lwaga umeendelea...

Peter Msechu Adaiwa Kuachwa na Mchumba Wake

Mwanamuziki wa Bongo fleva Peter Msechu aliyetamba na wimbo wake wa ' Nyota' na Malava a...

Nay wa Mitego Kajibu Povu la Godzillah

Mwanamuziki wa Bongo fleva Nay wa Mitego, amejibu rasmi povu lililotolewa na msanii mwenzake wa Bongo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek