Mbosso hafikirii kushindana na Aslay

By Bongo 5, 14w ago

Msanii wa muziki Bongo, Mbosso amesema mashabiki wanaomchukulia kwamba amekuja kwenye Bongo Flava ili kuleta ushindani kwa Aslay ni mitazamo yao tu. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma 'Watakubali' amesema anaheshimu kile anachofanya Aslay wale hajafikiria kuja kushindana naye. '€œMimi naheshimu muziki wa Aslay kwa sababu ni mtu ambaye nimemkuta kwenye Industry, halafu kwangu […]

ZINAZOENDANA

Godzillah Afunguka Mapenzi Yake kwa Halima Mdee.

Msani wa muziki wa hipo-hop nchini Godzillah amefunguka na kuelezea mahusiano yake na mwanasiasa anae...

Amini Awataka Wasanii Wakongwe Kufanya Muziki Unaokwenda na Wakati

Mwanamuziki wa Bongo fleva aliyefanya vyema kipindi cha nyuma Amini amewachana wasanii wakongwe kuwa ...

Q-Chillah Atangaza Kuendelea Na Muziki Aweka Kando Mawazo Ya Kuacha

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake 'Ulinikataa' miaka y...

Otile Brown arudisha kumbukumbu kwenye Changamoto za Maisha

11h ago

Unaweza ukapitia Changamoto za kila aina katika maisha lakini pale utakapoanza kuonja tamu ya matunda...

New Audio: B Gway - Na Stay

13h ago

Msanii wa muziki kutoka label ya ‘Is Bah Enternternent’, B Gway ameachia wimbo wake mpya ...

Q Chief Atengua Uamuzi wa Kuachana na Muziki "Maisha Yangu ya Nyuma Yananihukumu"

15h ago

Msanii wa muziki, Q Chief ametengua uamuzi wake wa kuachana na muziki baada ya kugundua tatizo la kut...

Babu

MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond,’ Hamis Tale ‘Babu ...

Babu

MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond,’ Hamis Tale ‘Babu ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek