MKAPA AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI KUDHIBITI UKIMWI

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Dotto MwaibaleRAIS Mstaafu Benjamin Mkapa amewataka wadau mbalimbali na wananchi kuendelea kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo nchini ambapo zaidi ya sh.milioni 200 zilipatikana.Mkapa alitoa ombi hilo wakati akiongoza harambee ya kuchangia mfuko huo iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, wawakilishi wa mashirika ya nje na ndani pamoja na mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini."Ni wajibu kwa kila mwananchi na wadau mbalimbali kuendelea kuchangia mfuko huu ili kusaidia mapam...

ZINAZOENDANA

Rais Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

3m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Bajeti wizara ya habari Zanzibar

21m ago

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi¬†¬...

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

43m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

UCHUNGUZI MALI ZA CHAMA:VIGOGO CCM MATUMBO JOTO

43m ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RIPOTI ya kuchunguza mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), imebaini upot...

Manara awapa ujanja mashabiki wa Simba

43m ago

Ukiachana na Simba kukabidhiwa ubingwa wa VPL msimu huu, watani zao Yanga wamekuwa wakiwasakama kutok...

WAMBURA,MALINZI WAPAMBANA KORTINI KISUTU

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

53m ago

Bonyeza Links zifuatazo:Job Opportunity at Kazini Kwetu, Commercial ManagerJob Opportunity at Kazini ...

Mike Pence Amuonya Kim Jong-un Asimchezee Trump

53m ago

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek