MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Mary Gwera KAMA ilivyo kwa huduma nyingine katika jamii, huduma ya upatikanaji wa HAKI ni miongoni mwa huduma ambazo wananchi wanahitaji kwa wakati bila longolongo, kufuatia uhitaji huu wa Wananchi, Mahakama ya Tanzania imekuwa na inaendelea katika jitihada za kuboresha huduma ya upatikanaji wa haki kwa kujenga na kukarabati miundombinu bora na wezeshi ya kutolea haki. Tukiangazia Mkoa wa Mara ambapo kwa kipindi kirefu wananchi wake wamekuwa na wanaendelea kupata shida hususani katika upatikanaji wa huduma ya haki kwa ngazi ya Mahakama Kuu ambapo Mwananchi mwenye kesi anatakiwa...

ZINAZOENDANA

Rais Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

2m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Programu ya Siri Kuongezewa Sauti Mpya Mwezi Ujao

4m ago

Kampuni ya Apple ipo mbioni kufanya mkutano wake wa kila mwaka unaojulikana kama WWDC au Apple Wor...

Unai Emery kukabidhiwa mikoba ya Wenger wiki hii

6m ago

Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza wiki hii aliyekuwa meneja wa Paris Saint-Germain, Unai Emer...

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 The post BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI appeared first on ...

Bomoa bomoa Rwanda kutafuta makaburi ya halaiki

12m ago

Nyumba kadhaa zimelengwa katika ubomoaji Rwanda wakati maafisa wanatafuta makaburi ya halaiki ya watu...

Miaka 22 ya Mv Bukoba, usafiri Z. Victoria bado kizungumkuti

13m ago

Wakati Watanzania wakikumbuka kuzama kwa meli ya Mv Bukoba iliyotokea miaka 22 iliyopita, Serikali im...

Michango wanayodai kutapeliwa wananchama wa Namaingo hii hapa

13m ago

Namaingo ilianzishwa mwaka 2016 ikiwa na lengo la kutoa ushauri wa biashara na ujasiriamali 

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek