BIL 23.061 KUTUMIKA MATENGENEZO YA BARABARA PWANI 2018/2019

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani KIASI cha sh. bilioni 23.061 zimepangwa kutumika kutoka mfuko wa barabara kwa ajili ya miradi ya matengenezo mbalimbali ya barabara ,mkoani Pwani, katika kipindi cha mwaka 2018/2019 . Aidha katika kipindi hicho kiasi cha shilingi bilioni 10.4 zimepangwa kutumika kwa ajili ya matengenezo ya kilometa 518 za barabara kuu madaraja madogo 23 na makubwa mawili. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Pwani, Mhandisi Yudas Msangi wakati wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa huo. Pamoja na hayo ,alisema kiasi c...

ZINAZOENDANA

Rais Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

2m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Programu ya Siri Kuongezewa Sauti Mpya Mwezi Ujao

4m ago

Kampuni ya Apple ipo mbioni kufanya mkutano wake wa kila mwaka unaojulikana kama WWDC au Apple Wor...

Unai Emery kukabidhiwa mikoba ya Wenger wiki hii

6m ago

Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza wiki hii aliyekuwa meneja wa Paris Saint-Germain, Unai Emer...

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 The post BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI appeared first on ...

Bomoa bomoa Rwanda kutafuta makaburi ya halaiki

12m ago

Nyumba kadhaa zimelengwa katika ubomoaji Rwanda wakati maafisa wanatafuta makaburi ya halaiki ya watu...

Miaka 22 ya Mv Bukoba, usafiri Z. Victoria bado kizungumkuti

14m ago

Wakati Watanzania wakikumbuka kuzama kwa meli ya Mv Bukoba iliyotokea miaka 22 iliyopita, Serikali im...

Michango wanayodai kutapeliwa wananchama wa Namaingo hii hapa

14m ago

Namaingo ilianzishwa mwaka 2016 ikiwa na lengo la kutoa ushauri wa biashara na ujasiriamali 

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek