WAKULIMA WA KOROSHO PWANI WANEEMEKA

By Issa Michuzi, 1w ago

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Wakulima wa zao la korosho Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kupata kiasi cha sh. bilioni 57.7 kutokana na mauzo ya zao la korosho ,msimu huu. Mafanikio hayo yametokana na mfumo wa stakabadhi ghalani ambao umetumika miaka mitatu iliyopita tangu kuanzishwa kwenye Mkoani hapo. Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC). Alisema fedha hizo zimepatikana kutokana na minada sita hadi kufikia Januari mwaka huu ambapo minada hiyo ilianza Novemba mwaka jana. Ndikilo alifaf...

ZINAZOENDANA

DC aapa kula sahani moja na wahujumu

3d ago

Baada ya baadhi ya vyama vya msingi (Amcos) wilayani Newala mkoani Mtwara kudaiwa kupokea korosho zis...

Mkazo wa kulima pamba, korosho uelekezwe kwa mazao mengine

3d ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza nia ya Serikali kuhimiza kilimo cha korosho na pamba nchini.

HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

5d ago

 Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya ...

Mke wa Azory Gwanda ajifungua, amlilia mumewe

6d ago

Mke wa mwandishi wa habari wa kujitegemea wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Azory...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek