Naibu Waziri awasha Umeme Gongolamboto

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Zuena Msuya, Dar es salaam Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Gongolamboto chenye uwezo wa MVA 65 na hivyo kuimarisha upatikanaji wa umeme katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar s Salaam, Mgalu alisema Kituo hicho kinapokea umeme kutoka katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi katika line ya 132 kV. Mgalu alifafanua kuwa kukamilika kwa kituo hicho kumewezesha uboreshaji wa upatikanaji wa umeme katika maeneo ya Kurasini, Kipawa, Kitunda, Chanika na Kisarawe, Ubungo, Mbagala na...

ZINAZOENDANA

Rais Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

1m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Programu ya Siri Kuongezewa Sauti Mpya Mwezi Ujao

3m ago

Kampuni ya Apple ipo mbioni kufanya mkutano wake wa kila mwaka unaojulikana kama WWDC au Apple Wor...

Unai Emery kukabidhiwa mikoba ya Wenger wiki hii

5m ago

Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza wiki hii aliyekuwa meneja wa Paris Saint-Germain, Unai Emer...

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 The post BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI appeared first on ...

Bomoa bomoa Rwanda kutafuta makaburi ya halaiki

11m ago

Nyumba kadhaa zimelengwa katika ubomoaji Rwanda wakati maafisa wanatafuta makaburi ya halaiki ya watu...

Miaka 22 ya Mv Bukoba, usafiri Z. Victoria bado kizungumkuti

13m ago

Wakati Watanzania wakikumbuka kuzama kwa meli ya Mv Bukoba iliyotokea miaka 22 iliyopita, Serikali im...

Michango wanayodai kutapeliwa wananchama wa Namaingo hii hapa

13m ago

Namaingo ilianzishwa mwaka 2016 ikiwa na lengo la kutoa ushauri wa biashara na ujasiriamali 

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek