KWANDKWA: SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA UJENZI NA UCHUKUZI MKOA WA TANGA

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Ismail Ngayonga -MAELEZO NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema Serikali imekusudia kuimarisha sekta ya ujenzi na uchukuzi katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Ujenzi wa Daraja kubwa lenye urefu wa Mita 550 katika Wilaya ya Pangani, hatua inayolenga kufungua fursa na kuinua pato la kiuchumi kwa wanachi wa Mkoa huo. Akizungumza katika mkutano wake na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Sheghela jana Jumanne Februari 12, 2018, Naibu Waziri Kwandikwa aliyopo katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya barabara Mkoani humo, alisema lengo la Serikali ni kuimarisha miund...

ZINAZOENDANA

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

15m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

Wizara ya Habari Zanzibar yawasilisha bajeti ya Tsh16.4 bilioni

27m ago

Mahmoud Thabit Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi kuidhinishia Tsh16.4 bilioni kwa ajili ya kuteke...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

3h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Serikali Yahimiza Halmashauri Kubuni Miradi Ya Kimkakati Ili Kujiongezea Mapato

16h ago

Serikali imeeleza kuwa Uchukuaji wa baadhi ya vyanzo vya mapato katika halmashauri ulifanyika kwa muj...

Msigwa Amtaka Dk. Kigwangala Kutoa Ushahidi Wa Ufisadi Wake

17h ago

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, atoe ushahidi ...

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Yatoa Ushauri Mzito Kwa Serikali

17h ago

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imeitaka serikali isiwe inatenga bajeti kubw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek