Familia Yenye Utata ya Gupta Mwenye Mahusiano ya Karibu na Rais Jacob Zuma Yavamiwa na Polisi

By Udaku Specially, 1w ago

Askari Polisi mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini wameizingira nyumba ya familia ya kitajiri ya 'Gupta' ambayo ipo na mahusiano ya karibu na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.Picha inayohusianaRais Jacob Zuma akiwa na baadhi ya wanafamilia ya kifahari ya GUPTA.Kwa mujibu wa mtandao wa Reuters umedai kuwa polisi wamezingira barabara zote zinazoingia kwenye eneo la nyumba za familia hiyo huku wakiwa na silaha nzito za kijeshi.Msemaji wa jeshi la polisi mjini  Johannesburg, Hangwani Mulaudzi amethibitisha taarifa hiza lakini amekataa kutolea maelezo kwa nini nyumba hiyo ya ki...

ZINAZOENDANA

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

19m ago

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa J...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

45m ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

1h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

2h ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Chemsha bongo: Rais wa (FIFA) ameongeza timu ngapi kwenye idadi ya timu zitazoshiriki michuano ya Kombe la Dunia?

3h ago

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek