Mwana Aipongeza Serikali "Nguo za Heshima Ndio Kila Kitu"

By Udaku Specially, 14w ago

MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed 'Mwana' amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kupiga marufuku mastaa wa kike kujiachia nusu utupu, ndiyo kila kitu katika kurudisha hadhi iliyopotea ya sinema za Kibongo.Mwana alisema kuwa, baadhi ya mastaa, hasa wa filamu wanaojiachia nusu utupu ndiyo waliochangia kushuka kwa sanaa hivyo waziri amefanya jambo la maana kupiga marufuku na kuwachukulia hatua wale ambao wanaendelea kusambaza picha hizo za kihasara kwenye mitandao ya kijamii.'€œSijawahi kukaa nusu utupu na sid...

ZINAZOENDANA

Bajeti wizara ya habari Zanzibar

6m ago

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi ...

Spika Ndugai amkaribisha tena Sugu bungeni

11m ago

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo, Mei 22 amemkaribisha Mbunge wa Mbe...

New Video: Chege ft. Maka Voice - Damu ya Ujana

11m ago

Msanii wa muziki Bongo, Chege ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Damu ya Ujana’ ambayo am...

Official Pictures za Harusi ya Prince Harry na Meghan Markle

14m ago

Weekend ,siku ya jumamosi dunia nzima lilolkua linazungumziwa ni harusi ya mtoto wa ki falme prince H...

Mbunge ambana Kigwangalla mbadala wa mkaa

20m ago

Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwang...

West Ham yamtangaza rasmi Manuel Pellegrini 

22m ago

Klabu ya West Ham imethibisha kuingia kandarasi ya miaka mitatu na Manuel Pellegrini kuwa meneja m...

Sabby Aapa Kuilipa Ndoa Kiba

STAA wa filamu ambaye kwa sasa amegeukia Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary 'Sabby Angel'€...

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

27m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek