Watu Watatu Wakamatwa na Nyara za Serikali Zenye Thamani ya Milioni 33

By Udaku Specially, 14w ago

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, oparesheni na doria zenye tija ambapo February 5, 2018 katika maeneo ya Mwanjelwa Polisi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wakiwa na nyara za Serikali ambazo ni vipande vinne vya meno ya Tembo.Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Mohammed Mpinga amewataja watuhumiwa waliokamatwa kuwa ni Kenedy Lupembe Simsokwe ambaye Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT - Tawi la Mbeya, Mathew Elikana Mwanjala ambaye ni Mpiga picha na Shaban Mkwiche.Mpinga amesema baada ya kukamatwa na kupekuliwa, watuhumiwa walikutwa na nyara hizo ambaz...

ZINAZOENDANA

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

JAMBAZI MMOJA AMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI HUKU MWENZAKE AKIFANIKIWA KUTOROKA BAADA YA KUPORA...

IGP SIRRO AKUTANA RAIS WA TLS PAMOJA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

3h ago

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika ...

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Fr...

Faiza Ally Afungukia Utajiri na Kuzaa Watoto 10

17h ago

Msanii Faiza Ally ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema kuwa ataongeza watoto wengine endapo ak...

Askari polisi washukiwa kushirikiana na wauza unga na bangi

17h ago

Na, Juma Hija. BAADHI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI KUPITIA KITUO CHA POLISI MAZIZINI LASHIRIKIANA NA ...

Nikiwa Tajiri Nitaongeza Watoto Wengine 10- Faiza Ally

19h ago

Msanii Faiza Ally ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema kuwa ataongeza watoto wengine endapo ak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek