Rushwa za Ngono Zimetawala Kwenye Tasnia ya Muziki - Witnesz

By Ghafla Tanzania, 14w ago

Msanii mkongwe wa rap Bongo, Witnesz au maarufu kama kibonge mwepesi ameibuka na kusema kuwa kama msanii wa miaka zaidi ya ishiririni katika tasnia hii ya Bongo fleva ameona jinsi rushwa ya ngono inavyotawala. Siku chache zilizopita Witnesz alishangaza mashabiki zake baada ya kutoa povu kali akiwaelekezea wadau waliopo kwenye tasnia ya muziki kama Madj, watangazaji na waandaji wa muziki kutoka katika media mbali mbali akiwatuhumu kwa kuwaomba wasanii wengi wa kike rushwa ya ngono. Imekuwa kawaida kwa wasanii wa kike kulalamika na kukata tamaa ya kufanya muziki kwa kile kinachodaiwa kuwa wanach...

ZINAZOENDANA

Godzillah Afunguka Mapenzi Yake kwa Halima Mdee.

10m ago

Msani wa muziki wa hipo-hop nchini Godzillah amefunguka na kuelezea mahusiano yake na mwanasiasa anae...

Lulu Diva Kuchezea Kipigo Kizito Kisa Rich Mavoko

Msanii wa Bongo fleva Lulu Abbas maarufu kama Lulu Fiva anayefanya vizuri na kibao chake cha Ona alic...

Ali Kiba Atangaza Vita Na Mbwana Samatta Uwanja Wa Taifa

Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba anayeendelea kufanya vyema na ngoma yake ya 'Mbumo wa Radi,...

Amini Awataka Wasanii Wakongwe Kufanya Muziki Unaokwenda na Wakati

Mwanamuziki wa Bongo fleva aliyefanya vyema kipindi cha nyuma Amini amewachana wasanii wakongwe kuwa ...

H.Baba- Wasanii Wanaishi Maisha Ya Uongo Ya Kuigiza Wana Pesa

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kibao chake cha mpenzi bubu, H...

Q-Chillah Atangaza Kuendelea Na Muziki Aweka Kando Mawazo Ya Kuacha

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake 'Ulinikataa' miaka y...

Otile Brown arudisha kumbukumbu kwenye Changamoto za Maisha

11h ago

Unaweza ukapitia Changamoto za kila aina katika maisha lakini pale utakapoanza kuonja tamu ya matunda...

New Audio: B Gway - Na Stay

13h ago

Msanii wa muziki kutoka label ya ‘Is Bah Enternternent’, B Gway ameachia wimbo wake mpya ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek