Wazanzibar elfu 40 Wafungua Kesi Mahakamani Wakihoji Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

By Udaku Specially, 14w ago

Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar-Kesi hiyo imefunguliwa katika Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999-Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

ZINAZOENDANA

Bajeti wizara ya habari Zanzibar

2m ago

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi¬†¬...

Wananchi waombwa kutoa taarifa wakiuziwa bidhaa kinyume na bei hizi

30m ago

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko imewataka wan...

Wizara ya Habari Zanzibar yawasilisha bajeti ya Tsh16.4 bilioni

36m ago

Mahmoud Thabit Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi kuidhinishia Tsh16.4 bilioni kwa ajili ya kuteke...

Baba Kaumba Aibuka Ampa Masharti Mazio Lulu

42m ago

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Zanzibar yapata walimu wa sayansi kutoka Nigeria

52m ago

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema walimu 300 wa masomo ya sayansi kutoka Nigeria wanahitaji...

IGP SIRRO AKUTANA RAIS WA TLS PAMOJA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

3h ago

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika ...

Waziri Majaliwa: Imani ya Dini na Maendeleo ya Watu Haviwezi Kutenganishwa

19h ago

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amesema kuwa imani ya dini yoyote ...

Serikali yawatoa hofu waliojenga katika eneo la Shamba la kilimo Kizimbani

20h ago

 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haina Mpango wa kuwaondosha waakazi waliyopo katika Mae...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek