Ndugu Watatu wa Familia Tajiri ya Gupta Wakamatwa na Polisi

By Udaku Specially, 14w ago

Polisi wa kitengo maalumu cha kupambana na ufisadi (Hawks) wamethibitisha kwamba watu watatu wamekamatwa baada ya kuvamia mapema asubuhi makazi ya familia tajiri ya Gupta yaliyopo eneo la Saxonwold jijini hapa.Pamoja na kuthibitisha kukamatwa watu hao, msemaji wa Hawks, Hangwani Mulaudzi hakutaka kuweka wazi majina ya waliokamatwa."Hebu tuseme tu kwamba mashtaka yao yanahusu udanganyifu," amesema.Inaaminika kwamba kabla ya kuvamia makazi ya Gupta, maofisa wa Hawks walikuwa wamevamia kwanza makazi ya Bedfordview yanayoaminika kuwa ya Mkurugenzi mtendaji wa zamani wa kampuni ya Sahara Systems. M...

ZINAZOENDANA

UCHUNGUZI MALI ZA CHAMA:VIGOGO CCM MATUMBO JOTO

27m ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RIPOTI ya kuchunguza mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), imebaini upot...

Manara awapa ujanja mashabiki wa Simba

27m ago

Ukiachana na Simba kukabidhiwa ubingwa wa VPL msimu huu, watani zao Yanga wamekuwa wakiwasakama kutok...

WAMBURA,MALINZI WAPAMBANA KORTINI KISUTU

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Mike Pence Amuonya Kim Jong-un Asimchezee Trump

37m ago

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

KATIBA MPYA: Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

38m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Baba Kaumba Aibuka Ampa Masharti Mazio Lulu

45m ago

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Marekani: Tutaiwekea Iran Vikwazo vya Kihistoria

45m ago

Rais wa Iran Hassan Rouhani, amepinga vikali kauli ya Marekani iliyotolewa na waziri wake wa mambo ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek