Uongozi wa Hospitali ya Amana Wamuomba Waziri Majaliwa Jengo la Amana Center

By Udaku Specially, 1w ago

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Amana wilayani Ilala umemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusaidia mchakato wa kulipata jengo la Amana Center ili litumike kupunguza uhaba wa majengo unaoikabili hospitali hiyo.Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela ametoa ombi hilo leo Februari 14,2018 wakati wa uzinduzi wa jengo la huduma ya mama na mtoto hospitalini hapo.Amesema wamekuwa na mzozo wa mara kwa mara na watumiaji wa jengo la Amana Center kutokana na upigwaji wa muziki na burudani nyingine za sanaa.Dk Shimwela amesema jengo hilo lipo karibu na hospitali na kelele zinasumbua wagonjw...

ZINAZOENDANA

MwanaFA ataja cha kufanya kama angekuwa waziri katika wizara ya sanaa

2h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ameweka wazi y...

Wizkid kupitia wimbo wake wa 'Daddy Yo' alamba dili nono Uingereza

2h ago

Msanii wa Muziki kutoka Nigeria, Wizkid kupitia wimbo wake wa ‘Daddy Yo’ ambao aliutoa mw...

Tekno, OG, Flimzy, Selebobo na Director David Antony wakamilisha 'Anyhow'

3h ago

Kwa ushirikiano wa kampuni ya MMMG na Cartel, wameleta kwako video ya wimbo mpya wa Staa wa muziki ku...

New Video: Tekno - Anyhow

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la A...

RACHEL ATAMANI KUITWA MAMA

5h ago

NA JESSCA NANGAWE MSANII wa muziki nchini, Rachel Haule, amesema moja ya mikakati yake mwaka huu ni k...

Skiza kibao kipya kutoka kwa Aslay - Nibebe

5h ago

Yule msanii umpendaye, msanii anayefanya vizuri katika muziki wa ongofleva ndani na nje ya nchi ameam...

New Video: Boy kitila ft Nuh Mziwanda - Sambukire

6h ago

Msanii wa muziki Bongo, Boy kitila ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Sambu...

Vibe Records yahusika kumuombea Radhi Aslay

7h ago

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Aslay Isihaka Nassoro 'Aslay' ameachia kazi yake mpya kw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek