Haji Manara Amvaa Goli Kipa wa Yanga

By Udaku Specially, 14w ago

Afisa habari wa Simba Haji Manara ambaye amekuwa na utamaduni wa kupenda kuwatania watani wao wa jado Yanga kupitia account zake za mitandao ya kijamii na imekuwa kama kitu cha kawaida.Leo kupitia ukurasa wa instagram wa Haji Manara ameandika ujumbe wa kumkosoa golikipa wa Yanga raia wa Cameroon Youthe Rostand baada ya kutumia kauli mbiu ya Simba na kuandika '€œYanga Nguvu Moja'€Baada ya kuona hivyo Haji Manara akaandika hivi '€œNilisema wazi ipo siku kila mtanzania atashabikia Simba...imekuwa desturi kwa sasa kipa huyu wa Yanga kutumia kauli mbiu yetu..NGUVU MOJA...ile da...

ZINAZOENDANA

Manara awapa ujanja mashabiki wa Simba

27m ago

Ukiachana na Simba kukabidhiwa ubingwa wa VPL msimu huu, watani zao Yanga wamekuwa wakiwasakama kutok...

Uongozi Yanga Wafunguka Sakata la Kula Mali za Majalida

45m ago

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake, Dismas Ten, umepuuzia taarifa zilizoenea mitandaoni n...

Baba Kaumba Aibuka Ampa Masharti Mazio Lulu

45m ago

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Manara kaeleza kilichompata baada ya Okwi kukosa penati

1h ago

Juzi kati Simba ilicheza dhidi ya Kagera Sugar mchezo ambao ulikuwa na sherehe na shamrashamra za mab...

Rage ahitaji muda kuijua Katiba mpya Simba

3h ago

Tayari mfanyabiashara maarufu na mwanachama wa Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amekubali kuichukua Simba kw...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

3h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Mrithi wa Ngoma aanza kujifua Yanga

3h ago

Kikosi cha Yanga kimemshusha straika wa nguvu, Mnigeria  Ogochukwu James kutoka Manzini Wanderers ...

Mameneja Wa Diamond Wadaiwa Kuhusika na Kusambaza Video Ya Ngono Ya Nandy

Kama utakumbuka mwezi uliopita jiji zima lilizizima baada ya video ya ngono iliyomuhusisha msanii wa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek