Zitto Kabwe Amtetea Samatta "Msimuingize Kwenye Haya Mambo Tafadhali"

By Udaku Specially, 14w ago

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka na kumtetea mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania ambaye sasa anakipiga klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji , Mbwana Samatta kuwa ameshinda kwenda kumtembelea Tundu Lissu kutokana na ratiba yake kuwa ngumu.Zitto Kabwe aliona aweke wazi hilo kufuatia baadhi ya watu kuanza kuhoji inakuaje mchezaji huyo yupo ameshinda japo kwenda kumtembelea na kumuona Mbunge Tundu Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa risasi mwaka jana. Zitto Kabwe ndipo aliamua kuweka sawa kuwa mchezaji huyo kwa sasa ratiba yake ni ngumu lakini anaamini...

ZINAZOENDANA

Zitto Ahoji Uhalali Wa Mkuchika Kukaimu Uwaziri Mkuu

16h ago

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George...

Zitto Ahoji Uhalali Wa Mkuchika Kukaimu Uwaziri Mkuu

17h ago

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George...

ZITTO AHOJI UHALALI WA MKUCHIKA KUKAIMU UWAZIRI MKUU

20h ago

Maregesi Paul, Dodoma   Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofis...

Tukimtumia vizuri Samatta tutavuna mkwanja

21h ago

Sports ni eneo ambalo hata wenzetu wanalitumia kutangaza vivutio vya utalii wa maeneo husika kwa saba...

Magufuli sasa wameandika wasifu wa marehemu (obituary) kwa sera ya mambo ya nje

4d ago

Magufuli sasa wameandika wasifu wa marehemu (obituary) kwa sera ya mambo ya nje tuliyorithi kutoka kw...

Samatta aipa uhai Genk Europa League

7d ago

Mabao mawili aliyofunga nahodha na mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta dhidi ya Charleroi yam...

Zitto Kabwe aishika tena pabaya Serikali ya JPM

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameishika vibaya Serikari ya Rais John Magufuli kwa kuichambua ba...

MNANGAGWA AIMWAGIA SIFA TANZANIA

Victoria Falls, Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe, Mhe Emmerson Dambudzo Mnangagwa (mwenye skafu) akiwa na Ka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek