Rachel Afunguka Alivyokamatwa na Dawa za Kulevya Uarabuni

By Udaku Specially, 1w ago

Msanii wa muziki bongo Rachel maarufu kama Rachel Kizunguzungu, amefunguka juu ya sakata lake la kwenda nchi za Uarabuni na kukutwa na mabalaa, ikiwemo kutumia madawa ya kulevya na kutelekezwa huko na mwanaume aliyekwenda naye.Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Rachel amesema ni kweli alikwenda Arabuni kwani ilikuwa ndoto yake tangu utotoni, na alipokwenda hukomilikuwa ni kutimiza ndoto zake na kuamua kubaki kwa muda kula raha.'€œKweli nilienda na nilienda na kazi zangu sio kwa ajili ya mapenzi, nakuhusu kubaki kule kule sikutamani, lakini ndoto zangu tangu niko shule il...

ZINAZOENDANA

MwanaFA ataja cha kufanya kama angekuwa waziri katika wizara ya sanaa

2h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ameweka wazi y...

Wizkid kupitia wimbo wake wa 'Daddy Yo' alamba dili nono Uingereza

2h ago

Msanii wa Muziki kutoka Nigeria, Wizkid kupitia wimbo wake wa ‘Daddy Yo’ ambao aliutoa mw...

Tekno, OG, Flimzy, Selebobo na Director David Antony wakamilisha 'Anyhow'

3h ago

Kwa ushirikiano wa kampuni ya MMMG na Cartel, wameleta kwako video ya wimbo mpya wa Staa wa muziki ku...

New Video: Tekno - Anyhow

4h ago

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la A...

RACHEL ATAMANI KUITWA MAMA

5h ago

NA JESSCA NANGAWE MSANII wa muziki nchini, Rachel Haule, amesema moja ya mikakati yake mwaka huu ni k...

Skiza kibao kipya kutoka kwa Aslay - Nibebe

5h ago

Yule msanii umpendaye, msanii anayefanya vizuri katika muziki wa ongofleva ndani na nje ya nchi ameam...

OPARESHENI ZA KUZUIA UHALIFU ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

6h ago

Na Lydia Churi-Mahakama ya TanzaniaViongozi wanaohusika na Oparesheni za kuzuia uhalifu wameshauriwa ...

New Video: Boy kitila ft Nuh Mziwanda - Sambukire

6h ago

Msanii wa muziki Bongo, Boy kitila ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Sambu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek