Jarada la Kesi la Mhasibu Mkuu wa Takukuru Lapelekwa kwa DPP

By Udaku Specially, 1w ago

Jalada la kesi inayomkabili Mhasibu Mkuu wa TAKUKURU, Godfrey Gugai anayedaiwa kumiliki mali zenye thamani ya Sh. Bilioni 3 ambazo haziendani na kipato chake limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa ajili ya kulipitia na kulitolea maamuzi.Hayo yameelezwa na Wakili wa Serikali, Wankyo Simon mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati shauri hilo lilipokuja kwaajili ya kutajwa.Wankyo alieleza awali  jalada hilo lilipelekwa kwa DPP ambapo alilipitia na kulirejesha TAKUKURU na kuelekeza baadhi ya maeneo yafanyiwe uchunguzi zaidi.Alidai kuwa maeneo hayo yamekwisha fanyiwa kazi na j...

ZINAZOENDANA

SIMBA YAANZA KUJIFUA UWANJA WA VETERANI

38m ago

Na Agness Francis Globu ya jamii.  VINARA wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC mara baada ya ...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Kutumia Vitabu vya QUR-AN

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu  &n...

Tanzania One 'Aishi Manula' akiri kazi ipo kwa Al Masry

3h ago

Mlinda lango wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Aishi Manula amesema kuwa michezo yao mi...

Simba kazi moja kwa Al Masry Machi 9

4h ago

Mechi hizo za kimataifa zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE KUZINDULIWA RASMI NA WAZIRI MWAKYEMBE JUMAPILI

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite hatua ya Nane bora inataraji kuzinduliwa rasmi mkoani ...

Mbao FC yatonywa Simba haitaki mzaha

7h ago

Mchezo huo wa Ligi Kuu utapigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo Mbao FC wataingia ...

Yanga, Simba wampa mzuka Kipa wa Stand Utd

7h ago

Kocha wake alsema kila kukicha kiwango cha kipa huyo kinaimarika jambo ambalo amesema kama akiendelea...

Sisterz wapo fiti kinoma kuwavaa Simba Qeen

7h ago

Timu ya Sisterz Queen imesisitiza kuwa makosa waliyoyafanya msimu uliopita na kushindwa kutwaa ubingw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek