Jeshi la Polisi Latoa Ufafanuzi Juu ya Kuokotwa kwa Mwili wa Mtu Ufukwenu

By Udaku Specially, 1w ago

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondon ACP Murilo Jumanne Murilo amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa jeshi hilo limeokota mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na miaka 35, katika eneo la ufukwe wa Coco Beach akiwa amefariki.Kamanda Murilo ameeleza walipata taarifa ya kuonekana kwa mtu huyo kutoka kwa msamaria mwema na walipokwenda eneo la tukio waliukuta mwili wa mtu huyo ukiwa na majeraha na akiwa tayari ameshakufa.Ameeleza kuwa Jeshi  la Polisi tayari limeanza mara moja kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo cha mtu huyo.

ZINAZOENDANA

Wafanyabiashara Tanga watoa pikipiki nne kwa polisi

3h ago

Wafanyabiashara mkoani Tanga kupitia mfuko wa kukabiliana na uhalifu wamelikabidhi Jeshi la Polisi pi...

Mchungaji Akiponza Kituo cha Redio Chafungiwa na Kutozwa Faini ya Milioni 2

Serikali ya Rwanda kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Mawasiliano nchini humo (RURA), imekifung...

WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU

5h ago

  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akifungua kikao cha ...

JESHI LA POLISI KITENGO CHA POLISI JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA CRDB WAFANYA ZIARA YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

6h ago

 Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi ambaye ndiye Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii, DCP Ahmada. A...

Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana Zitto Kabwe Atema Cheche "Tusirudishwe Nyuma na Vitisho"

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka M...

Zitto Kabwe 'atema cheche' baada ya kuachiwa huru kwa dhamana

8h ago

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka M...

Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa Huru kwa Dhamana ya Milioni 50

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana...

Polisi auawa kwenye vurugu za mashabiki

9h ago

Afisa Polisi mmoja amefariki hapo jana kufuatia vurugu zilizofanywa na baadhi ya mashabiki wa klabu y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek