Makonda Aliwakia Gazeti " Kuna Gazeti Linaangaika Sana Kunichonganisha Siwezi Kulifumbia Macho"

By Udaku Specially, 14w ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuna gazeti moja nchini limekuwa likiandika habari za kumchonganisha yeye na viongozi wengine au taasisi nyingine za serikali,  jambo ambalo amesema halikubaliki wala hawezi kulifumbia macho. Makonda ameyasema hayo leo, Feb. 14, 2018 wakati wa uzinduzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Amana, iliyopo Ilala jijini Dar ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Kauli hiyo ya Makonda imekuja kutokana na maamuzi yake ya kuvunja mabaraza yote ya ardhi ya mkoa wa Dar, na kutaka kazi hizo zifanywe ...

ZINAZOENDANA

Bajeti wizara ya habari Zanzibar

4m ago

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi ...

Spika Ndugai amkaribisha tena Sugu bungeni

10m ago

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo, Mei 22 amemkaribisha Mbunge wa Mbe...

New Video: Chege ft. Maka Voice - Damu ya Ujana

10m ago

Msanii wa muziki Bongo, Chege ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Damu ya Ujana’ ambayo am...

Official Pictures za Harusi ya Prince Harry na Meghan Markle

12m ago

Weekend ,siku ya jumamosi dunia nzima lilolkua linazungumziwa ni harusi ya mtoto wa ki falme prince H...

Mbunge ambana Kigwangalla mbadala wa mkaa

18m ago

Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwang...

West Ham yamtangaza rasmi Manuel Pellegrini 

20m ago

Klabu ya West Ham imethibisha kuingia kandarasi ya miaka mitatu na Manuel Pellegrini kuwa meneja m...

Sabby Aapa Kuilipa Ndoa Kiba

STAA wa filamu ambaye kwa sasa amegeukia Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary 'Sabby Angel'€...

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

26m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek