Viongozi wa Dini Wapewa Onyo Kali na Jeshi la Polisi

By Udaku Specially, 14w ago

Jeshi la polisi mkoani Dodoma limewaonya viongozi wa dini mkoani humo ambao wanatabia ya kufanya vitendo vilivyo kinyume na mafundisho ya dini huku likiwaomba wananchi wawafichue viongozi hao ambao wenye tabia hizo.Hayo yamesemwa leo Februari 14, 2018 na kamanda wa polisi mkoani humo, Kamishna msaidizi Mwandamizi wa polisi, Gilles Muroto.Kamanda Muroto amesema kuwa kutokana na kukua kwa utandawazi kumekuwa rahisi kwa sasa watu kutumia nafasi hiyo kupotosha umma huku wakijinadi kuwa ni viongozi wa dini.Muroto amesema viongozi wa dini watakaobainika kufanya vitendo hivyo au vya aina yoyote ile y...

ZINAZOENDANA

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

JAMBAZI MMOJA AMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI HUKU MWENZAKE AKIFANIKIWA KUTOROKA BAADA YA KUPORA...

IGP SIRRO AKUTANA RAIS WA TLS PAMOJA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

3h ago

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika ...

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Fr...

Faiza Ally Afungukia Utajiri na Kuzaa Watoto 10

17h ago

Msanii Faiza Ally ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema kuwa ataongeza watoto wengine endapo ak...

Askari polisi washukiwa kushirikiana na wauza unga na bangi

17h ago

Na, Juma Hija. BAADHI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI KUPITIA KITUO CHA POLISI MAZIZINI LASHIRIKIANA NA ...

Nikiwa Tajiri Nitaongeza Watoto Wengine 10- Faiza Ally

19h ago

Msanii Faiza Ally ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema kuwa ataongeza watoto wengine endapo ak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek