WAHIFADHI WAIOMBA SERIKALI KUCHEPUSHA BARABARA YA LAMI INAYOPITA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI (TANZAM) ILI KUNUSURU HIFADHI HIYO

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Hamza Temba-WMU-Morogoro................................................................Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa hamsini za barabara ya lami inayopita ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi au kutoza kodi ya utalii kwa watu wanaotumia barabara hiyo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazosabishwa na barabara hiyo kwenye uhifadhi.Hayo yamesemwa mkoani Morogoro na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kufuatia ombi la uongozi wa hifadhi hiyo la kuiomba Serikali kuchepusha barabara hiyo kutokana na athari mbalimbali za kimazi...

ZINAZOENDANA

Mbunge ambana Kigwangalla mbadala wa mkaa

36m ago

Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwang...

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

44m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

Mapato yanayotokana na Utalii yazidi kupaa

2h ago

Mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 2,131.57 kwa mwaka 2016 hadi...

Mapato Yatokanayo na Utalii Yaongezeka kwa Asilimia 5.6

16h ago

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka Dola za Mar...

Mapato Yatokanayo na Utalii Yaongezeka kwa Asilimia 5.6

19h ago

Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka Dola za Marekani mi...

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

19h ago

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao ...

Mapato Yatokanayo na Utalii Yaongezeka kwa Asilimia 5.6

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt Hamisi Kigwangalla akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato n...

Msigwa amshukia Dk Kigwangalla bungeni

20h ago

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk H...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek