MALAWI YAONESHA NIA KUPATA GESI KUTOKA TANZANIA

By Issa Michuzi, 1w ago

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Ujumbe wa Mawaziri wawili kutoka Malawi na kuzungumza kuhusu uwezekano wa Malawi kupata Gesi Asilia kutoka Tanzania na Uendelezaji wa pamoja wa Bonde la Mto Songwe kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo uzalishaji umeme.Ujumbe wa Malawi uliongozwa na Waziri wa Maliasili, Nishati na Madini, Aggrey Masi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii, Henry Mussa ambao waliambatana na Balozi wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe na wataalam kutoka Taasisi mbalimbali zilizo chini ya wizara zao.Waziri Kalemani alikutana na ujumbe huo Februari 12, 2018 katik...

ZINAZOENDANA

Naibu Waziri Madini: "Ni Bora Tukawie Lakini Tufike"

1h ago

Na Mathias Canal, SongweNaibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amesifu utendaji unaofanywa na...

Naibu Waziri wa madini akerwa na usiri wa mapato ya mwekezaji

2h ago

Na Mathias Canal, MbeyaNaibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amekerwa na usiri wa ...

Naibu Waziri wa madini akerwa na usiri wa mapato ya mwekezaji

4h ago

Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amekerwa na usiri wa mapato na matumizi ya m...

MHE BITEKO: '€œMULUGO WEWE NI NOMA...!'€

Naibu Waziri wa wizara ya madini Mhe Doto Mashaka Biteko (Kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Jim...

'€œNI BORA TUKAWIE LAKINI TUFIKE'€ MHE BITEKO

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua kinu cha kuchakata dhahabu mara baada ya k...

VITUO MAALUM VYA UCHENJUAJI KUJENGWA KATIKA MAENEO YA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

19h ago

Na Zuena Msuya, Geita.Serikali  inadhamiria kujenga vituo maalum vya uchenjuaji na kuvizungushia...

VITUO VYA UNCHENJUAJI KUJENGWA MAENEO YOTE YA WACHIMBAJI WADOGO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila, akishuka chini ya mgodi uliojengwa katika Kit...

NAIBU WAZIRI MADINI ATUA MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza mara baada ya kupokelewa na Mkuu wa Wilaya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek