Video: Lissu mimi ni ndugu yangu - Waziri Mwigulu Nchemba

By Bongo 5, 14w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema amewaonya wanasiasa kutumia shambulio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kupigwa risasi kama chambo la siasa huku akieleza kuwa Mbunge huyo ni ndugu yake:Tazama video hii akielezea pia jinsi wananchi wanavyopaswa kuishukuru serikali kwa kuokoa maisha ya mbunge huyo ambaye yupo Ubelgiji. Jiunge […]

ZINAZOENDANA

Aliyekuwa Dancer wa Alikiba, Msami,na Matonya Afariki Dunia.

Imethibitika aliyewahi kuwa dancer katika video mbalimbali za wasanii Tanzania Emma amefariki Dunia s...

Godzillah Afunguka Mapenzi Yake kwa Halima Mdee.

13m ago

Msani wa muziki wa hipo-hop nchini Godzillah amefunguka na kuelezea mahusiano yake na mwanasiasa anae...

Siri za mafanikio ya serikali ya awamu ya tano zawekwa wazi (+video)

15m ago

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ameweka wazi siri za mafanikio ya serikali katika serika...

Picha: Belle 9 ajiandaa kuachia video ya ngoma yake mpya

35m ago

Ni miezi minne imepita tangu tuliposhuhudia video ya ngoma mpya ya Belle 9 ambayo inaitwa ‘Mfal...

Sakata la Ubalozi wa Israel Latikisa Bunge - Video

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amesema kuwa nchi ya Tanzania imejenga heshima dunia kutokana na k...

Kauli ya Sugu Kuhusu Kukiukwa kwa Misingi ya Mwalimu Nyerere - Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kwa zama hizi sera ya Ush...

Magige Ahoji Uzoefu wa Ajira kwa Wanafunzi wa Vyuo - Video

MBUNHGE Viti Maalum Catheline Magige amesimama leo Bungeni kuhoji utaratibu unaotumika kwa ajili kutu...

Baada ya Kushindwa Kumalizana Babu Tale Kusota Rumande kwa Muda Usiojulikana, Wakili wa Sheikh Mbonde Afunguka

15h ago

Bosi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, umerudishwa rumande mchana huu (Mei 23,...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek