Serena Williams Aanza Kazi Mumewe Abembeleza Mtoto

By Udaku Specially, 14w ago

Mchezaji tennis Serena Williams amerudi uwanjani kwa mara ya kwanza toka ajifungue mtoto wake wa kike Alexis Olympia miezi mitano iliyopita.Serena amerudi uwanjani kucheza michuano ya Fed Cup  Asheville USA lakini amezichukua headlines kufuatia kujitokeza uwanjani hapo mume wake na mtoto wake Alexis Olympia.Mchezo huo ulihudhuria na kufuatiliwa na watu mbalimbali lakini kitendo cha mume wa Serena anayejulikana kwa jina la Alexis Ohanian alikuwa uwanjani hapo akiwa kambeba mtoto na kumnywesha maziwa wakati Serena akiwa anacheza kimewavutia wengi.

ZINAZOENDANA

Bajeti wizara ya habari Zanzibar

3m ago

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi¬†¬...

Spika Ndugai amkaribisha tena Sugu bungeni

9m ago

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo, Mei 22 amemkaribisha Mbunge wa Mbe...

New Video: Chege ft. Maka Voice - Damu ya Ujana

9m ago

Msanii wa muziki Bongo, Chege ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Damu ya Ujana’ ambayo am...

Official Pictures za Harusi ya Prince Harry na Meghan Markle

11m ago

Weekend ,siku ya jumamosi dunia nzima lilolkua linazungumziwa ni harusi ya mtoto wa ki falme prince H...

Mbunge ambana Kigwangalla mbadala wa mkaa

17m ago

Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwang...

West Ham yamtangaza rasmi Manuel Pellegrini 

19m ago

Klabu ya West Ham imethibisha kuingia kandarasi ya miaka mitatu na Manuel Pellegrini kuwa meneja m...

Sabby Aapa Kuilipa Ndoa Kiba

STAA wa filamu ambaye kwa sasa amegeukia Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary 'Sabby Angel'‚ā¨...

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

25m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek