Deni Lasababisha Mtoto Kuzuiliwa Hospitalini Kwa Miezi Mitano Bila Mama Yake

By Udaku Specially, 1w ago

February 14, 2018 nimeipata hii kumhusu Mama mmoja ambaye ameelezea furaha yake baada ya zahanati moja ya binfasi kumuachilia mtoto wake mchanga baada ya kuzuiliwa kwa miezi mitano kutokana na kushindwa kulipa bili ya hospitali nchini Gabon.Mama yake mtoto Angel amesema kuwa maziwa yake yamekauka baada ya kutenganishwa na mtoto wake kwa muda wa miezi mitano. Tukio hilo limewashangaza watu mbalimbali nchini humo ila baadaye mama huyo akapata msaada kutoka kwa Wananchi.Bili ya dola 3,630 ambazo ni Tsh. Milioni 7 laki 2 na elfu sitini ililipwa baada ya kampeni kuanzishwa kwa niaba ya familia. Rai...

ZINAZOENDANA

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

2m ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

22m ago

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa J...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

48m ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

1h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

2h ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek