Mkapa Aishauri Serikali Kuandaa Utaratibu wa Kupatikana Fedha Kwaajili ya Ukimwi

By Udaku Specially, 14w ago

Rais mtaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameishauri Serikali kuandaa utaratibu endelevu utakaosaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya Ukimwi.Mkapa  amesema hayo jana wakati akizindua harambee ya kuchangia Mfuko wa Ukimwi iliyoandaliwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids).Mkapa amesema wafadhili wamepunguza misaada ya Ukimwi, hivyo fedha za ndani ni muhimu ili kupunguza utegemezi.'€œNaipongeza Serikali kwa kuendelea kuchangia fedha kupitia bajeti zake, hata hivyo nashauri uwekwe utaratibu endelevu utakaosaidia kupata fedha za Ukimwi,'€ amesemaAmesema  kwa kutum...

ZINAZOENDANA

KIGWANGALLA AWASILISHA BAJETI YA SH BILIONI 115

17m ago

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliomba Bunge limuidh...

UCHUNGUZI MALI ZA CHAMA:VIGOGO CCM MATUMBO JOTO

17m ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RIPOTI ya kuchunguza mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), imebaini upot...

Manara awapa ujanja mashabiki wa Simba

17m ago

Ukiachana na Simba kukabidhiwa ubingwa wa VPL msimu huu, watani zao Yanga wamekuwa wakiwasakama kutok...

WAMBURA,MALINZI WAPAMBANA KORTINI KISUTU

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

27m ago

Bonyeza Links zifuatazo:Job Opportunity at Kazini Kwetu, Commercial ManagerJob Opportunity at Kazini ...

Mike Pence Amuonya Kim Jong-un Asimchezee Trump

27m ago

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

KATIBA MPYA: Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

29m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Wizara ya Habari Zanzibar yawasilisha bajeti ya Tsh16.4 bilioni

29m ago

Mahmoud Thabit Kombo ameliomba Baraza La Wawakilishi kuidhinishia Tsh16.4 bilioni kwa ajili ya kuteke...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek