Mwili wa Aliyekuwa Katibu wa Chadema Kusafirishwa Iringa kwa Maziko

By Udaku Specially, 1w ago

Mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chadema Kata ya Hananasif jijini Dar es Salaam, Daniel John unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Iringa kwa maziko.John ambaye ni mpigapicha maarufu Hananasif aliuawa na watu wasiojulikana na mwili wake uliokotwa jana kwenye fukwe za Coco.Akizungumzia maandalizi ya mazishi ya kiongozi huyo, mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko ambaye anasimamia kampeni za Chadema katika kata hiyo amesema marehemu atasafirishwa kesho na kuzikwa Ijumaa.Matiko amesema vikao vya kukusanya fedha kwa ajili ya kusafirisha mwili wa mwanachama wao huyo vinaendelea kufanyika na kesho wanatu...

ZINAZOENDANA

Majibu ya CHADEMA kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini

7s ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Mashaga, Lwakatare kusuka au kunyoa BFT

1h ago

Uchaguzi huo unafanyika ili kupata viongozi wapya wa kuongoza shirikisho hilo kwa miaka minne ijayo.

Msajili wa vyama aitupia lawama CHADEMA mauaji ya Akwilina

2h ago

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amekiandikia chama kikuu cha upinzani...

'Tofauti zetu ni upevu wa demokrasia Nasa'

3h ago

Muungano wa Nasa umeahidi kuendelea kupigania haki katika uchaguzi huku ukipinga kuwepo kwa migawanyi...

Wafanyabiashara Tanga watoa pikipiki nne kwa polisi

3h ago

Wafanyabiashara mkoani Tanga kupitia mfuko wa kukabiliana na uhalifu wamelikabidhi Jeshi la Polisi pi...

CHADEMA Wamjibu Msajilii wa Vyama vya Siasa

3h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Chadema wamjibu Msajili

4h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Msajili wa Vyama vya Siasa Anasukumwa Wanataka Kuifuta Chadema- Mnyika

Naibu Katibu Kuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Mhe. John Mnyika amefunguka na k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek