Kura ya Kutokuwa na Imani na Zuma Kupigwa Bungeni Kesho

By Udaku Specially, 1w ago

Kura ya kutokuwa na imani na Rais Zuma kupigwa Bungeni kesho baada ya Rais huyo kutotekeleza wito wa kujiuzulu ndani ya saa 48 Wabunge wa ANC wataitumia hoja ya kutokuwa na imani na Rais Zuma ambayo tayari imewasilishwa Bungeni na chama cha Upinzani cha Economic Freedom Fighters(EFF) kinachoongozwa na Mwanasiasa kijana mwenye makeke, Julius MalemaTangu Rais Zuma aingie madarakani hoja 5 za kutokuwa na imani naye zimewasilishwa katika Bunge la Nchi hiyo huku 3 kati ya hizo zikikosa kura kutoka kwa Wabunge wengi na mbili zikikosa vigezo hivyo kutofanikiwa kupigiwa kura

ZINAZOENDANA

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

1m ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

21m ago

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa J...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

47m ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

1h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

2h ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek