SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

By Issa Michuzi, 14w ago

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO- DODOMA.Serikali imepokea zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi kwa ajili ya wasimamizi wa mashauri ya watoto ngazi ya jamii inayojumuisha kata, vijiji na mitaa.Zana hizo zimekabidhiwa leo mjini Dodoma kwa Kamisha wa Maendeleo ya Jamii Dkt. Naftal Ng'ondi na Shirika la John Snow Inc(JSI) kushirikiana na MEASURE Evaluation na PACT Tanzania kupitia Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii(CHSSP) unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID).Wakati wa makabidhiano hayo Kamishna...

ZINAZOENDANA

Kagera kuna upungufu wa vyumba vya madarasa 8,341

29s ago

Mkoa wa Kagera umetajwa kuwa na upungufu wa vyumba vya madarasa 8,341 vya shule za msingi sawa na asi...

Sugu atinga bungeni na nembo ya namba yake ya mfungwa

32s ago

Siku 12 tangu Joseph Mbilinyi 'Sugu' alipoachiwa huru, jana aliingia bungeni na kusimami...

Rais Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

5m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Programu ya Siri Kuongezewa Sauti Mpya Mwezi Ujao

7m ago

Kampuni ya Apple ipo mbioni kufanya mkutano wake wa kila mwaka unaojulikana kama WWDC au Apple Wor...

Unai Emery kukabidhiwa mikoba ya Wenger wiki hii

9m ago

Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza wiki hii aliyekuwa meneja wa Paris Saint-Germain, Unai Emer...

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 The post BREAKING: MTANDAO WA WANAFUNZI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI appeared first on ...

Bomoa bomoa Rwanda kutafuta makaburi ya halaiki

15m ago

Nyumba kadhaa zimelengwa katika ubomoaji Rwanda wakati maafisa wanatafuta makaburi ya halaiki ya watu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek