Mwigulu Nchemba awakemea wanasiasa wanaoihusisha Serikali na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

By Mpekuzi Huru, 6d ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kuumia kwa mbunge Tundu Lissu kama chambo ya kisiasa katika majukwaa.Dkt. Mwigulu amesema hayo jana mkoani Singida wakati wa kampeni za udiwani kata ya Mitunduluni.Mwigulu  amewataka wanasiasa  waache kutumia matatizo ya ndugu yao kama mitaji ya kisiasa badala  yake waje na hoja za maana za kusaidia k...

ZINAZOENDANA

Utajiri wa Putin Huu Hapa

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin akiwa amebakiza siku chache kabla ya kuingia katika uchaguzi mkuu, amea...

Lissu aongea Haya akiwa Ubelgiji

10h ago

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema uchaguzi wa marudio Kinondoni na S...

Uchaguzi wa wabunge Septemba

10h ago

RAIA wa Rwanda watapiga kura Septemba mwaka huu kuwachagua wabunge.

"Anapanga mpango wa kuja kuwateka"- Waziri Mwigulu

11h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba amewataka askari Magereza nchini kulinda tarati...

Urusi yafutilia mbali shutma za kuingilia uchaguzi wa Marekani

17h ago

Ikulu ya Kremlin leo Jumatatu imefutlia mbali madai ya kuingilia uchaguzi wa urais wa Marekani. Kauli...

Malisa: Polisi ni Sehemu ya Watuhumiwa Hawapaswi Kuhusika Kuchunguza Kifo cha Akwilina

19h ago

Aliyekuwa mgombea ubunge Kinondoni kupitia Chama cha Tanzania Labour (TLP) katika uchaguzi uliofanyik...

Mh. Zitto kufanya ziara Kata zinazoongozwa na ACT Wazalendo

20h ago

Chama cha ACT- Wazalendo kupitia Kiongozi wake, Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wa chama hicho...

Askari Magereza watakiwa kufanya kazi kwa weledi

21h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka askari wa Jeshi la Magereza nchini kufanya ka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek