Waziri Mkuu: Bil. 161.9 Zimetumika Kuboresha Vituo Vya Afya 170

By Mpekuzi Huru, 14w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 161.9 kuboresha vituo vya afya 170 nchini pamoja na kugharamia huduma ya Afya ya Mama na Mtoto kwa lengo la kuokoa maisha yao.Amsema Serikali itaendelea kukarabati na kupanua miundombinu ya kutolea huduma pamoja na kununua vifaa vya kisasa katika Hospitali za Mloganzila, Benjamini Mkapa, Dodoma na Hosptali za Rufaa katika Mikoa na Kanda.Wa...

ZINAZOENDANA

Siri za mafanikio ya serikali ya awamu ya tano zawekwa wazi (+video)

7m ago

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ameweka wazi siri za mafanikio ya serikali katika serika...

Msemaji wa serikali awataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli

27m ago

Watanzania wametakiwa kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kuleta mageuzi ma...

VIDEO- DKT ABBASI: SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEFIKIA HATUA HII KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

  Na Mwandishi Wetu, MAELEZO Kilimanjaro     WATANZANIA wametakiwa kuendelea kumuunga mkono ...

Facebook Yaendelea Kuomba Msamaha

39m ago

Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwenye Bunge la Ulaya kutokana na madhara yali...

Iran yaendelea kupinga masharti ya Marekani

39m ago

Iran imeendelea kupinga masharti kutoka Marekani ya kufanyia mabadiliko sera yake ya kigeni na mpango...

Waziri Mkuu: Tanzania Inahitaji Wawekezaji ili Kupata fursa ya mitaji na teknolojia za kisasa

41m ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania bado inahitaji wawekezaji na kupitia kwenye uwekezaji, i...

Zeco : Zanzibar ipo hatua ya mwisho kutafuta vyanzo vya umeme

53m ago

JITIHADA za upatikanaji wa umeme mbadala Zanzibar zimeanza kuleta matumaini kufuatia matokeo mazuri y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek